| Fråga | Svar | |||
|---|---|---|---|---|
| moja kwa moja  | ||||
| Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Moja kwa moja, alielewa masomo yake.  | ||||
| mwanzoe, ... mwishoe  | ||||
| Mwanzoe, Hamisi alisoma kitabu. Mwishoe, alitazama mpira.  | ||||
| Baada ya kusoma kitabu, Hamisi alitazama mpira.  | ||||
| baada ya hapo  | ||||
| Hamisi alisoma kitabu. Baada ya hapo, alitazama mpira.  | ||||
| baadaye  | ||||
| Hamisi alisoma kitabu. Baadaye, alitazama mpira.  | ||||
| halafu  | ||||
| Hamisi alisoma kitabu. Halafu, alitazama mpira.  | ||||
| kisha  | ||||
| Hamisi alisoma kitabu. Kisha akatazama mpira.  | ||||
| Kabla ya kutazama mpira, Hamisi alisoma kitabu.  | ||||
| kabla ya hapo  | ||||
| Hamisi alitazama mpira. Kabla ya hapo, alisoma kitabu.  | ||||
| kuanzia hapo  | ||||
| Hamisi alishindwa mtihani. Kuanzia hapo, alisoma sana akaelewa kila kitu.  | ||||
| mpaka hapo  | ||||
| tangu Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Mpaka hapo, alikuwa akitazama mpira.  | ||||
| mpaka sasa  | ||||
| hadi sasa  | ||||
| mpaka sasa, Hamisi alipenda sana kusoma.  | ||||
| hatua kwa hatua  | ||||
| Hatua kwa hatua, Hamisi akasoma vitabu vyote maktabani.  | ||||
| polepole  | ||||
| Polepole, Hamisi alishika kitabu na kuanza kusoma.  | ||||