| Fråga   | Svar   | |||
|---|---|---|---|---|
| as well  | Vile vile  | |||
| Hamisi reads a lot. He likes football a lot as well.  | Hamisi anasoma sana. Vile vile, anapenda sana mpira.  | |||
| Besides that  | Pamoja na hayo  | |||
| Hamisi reads a lot. Besides that, he likes football a lot.  | Hamisi anasoma sana. Pamoja na hayo, anapenda sana mpira  | |||
| In addition  | Zaidi ya hayo  | |||
| Hamisi reads a lot. In addition, he likes football a lot.  | Hamisi anasoma sana. Zaidi ya hayo, anapenda sana mpira.  | |||
| On top of that  | Juu ya hayo  | |||
| Hamisi reads a lot. On top of that, he likes football a lot.  | Hamisi anasoma sana. Juu ya hayo, anapenda sana mpira.  | |||
| Moreover  | Isitoshe  | |||
| Hamisi reads a lot. Moreover, he likes football a lot.  | Hamisi anasoma sana. Isitoshe, anapenda sana mpira.  | |||
| While + -ing (hu)  | Huku ... -ki  | |||
| Hamisi is reading a book while watching football  | Hamisi anasoma kitabu huku akitazama mpira  | |||
| While + -ing (hi)  | Hivi / Hali... -na  | |||
| Hamisi is reading a book while watching football. (hi)  | Hamisi anasoma kitabu hivi/hali anatazama mpira.  | |||
| At the same time...  | Wakati huo (huo)  | |||
| Hamisi is reading a book. At the same time, he is watching football.  | Hamisi anasoma kitabu. Wakati huo huo, anatazama mpira.  | |||
| Simultaneously  | Kwa muda huo (huo)  | |||
| Hamisi is reading a book. Simultaneously, he is watching football.  | Hamisi anasoma kitabu. Kwa muda huo, anatazama mpira.  | |||
| That same day (month, year)  | Siku hiyo hiyo (mwezi, mwaka)  | |||
| Last Friday, Hamisi read a book. That same day, he watched football.  | Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Siku hiyo hiyo, alitazama mpira.  | |||